Shamba Eka 2 Kiwangwa Bagamoyo
TZS 1,500,000
Shamba Eka 2 Kiwangwa Bagamoyo
Pwani
Shamba linauzwa lipo kiwangwa bagamoyo pwani linaukubwa wa heka 2 linafa kulima mazao yoyote au kufuga kisasa hata makazi pia umbali kutoka lami kilometa 3 barabara safi mpaka shamba bei sh milioni moja na laki tano kwa heka moja mawasiliano no 0714121506 kalibuni sana kiwangwa yenye neema kuona bule asanteni sana
TZS 1,500,000