Kwa wote wanahitaji kujisomea na kufaulu vizuri Physics, Chemistry na Biology karibuni...kwani Mimi ni mwalimu mahili ambae nna uzoefu wa kutosha na nmefundisha shule kubwa zinazofaulisha wanafunzi wote. Kwasasa NAFUNDISHA shule ya ST. JOSEPH'S ITERAMBOGO SEMINARY