John louis
Basic

John louis

Seller since 2024
Bf Suma ni B bright F future S superior U unique M manufacturer of A America Kampuni ya bfsuma Ilianza rasmi Los Angeles Amerika mwaka 2006 ikiwa imejikita Sana na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali za afya. Makao makuu ya kampuni ya bfsuma yako nchini America Los Angeles Baada ya kuanzishwa ilianzisha kuzalisha Aina 7 za bidhaa za virutubisho ambazo ni 1.bidhaa za kuongeza kinga 2.bidhaa za mifupa na viungo 3.bidhaa za kuzuia mikunyanzi ya ngozi(kutozeeka kwa ngozi) 4.bidhaa za nguvu za kiume na shida za uzazi kwa wanawake 5.bidhaa za magonjwa ya moyo na mishipa 6.bidhaa binafsi Kama sabuni dawa ya mswaki n.k 7.bidhaa za kupunguza unene Lakini kampuni ya bfsuma imethibitishwa na kupatiwa vyeti mbalimbali vya afya Mfano FDA, halal, GMPs n.k Kwa Mara ya kwanza kampuni ya bfsuma iliingi Africa mwaka 2010 ukaingia 2011 Kenya 2012 Uganda 2013 Nigeria 2014 Tanzania Ikaenea nchi mbalimbali Africa Kama vile Zambia, Congo, Botswana, Africa kusini,Ghana Namibia n.k Kampuni ya bfsuma inafanya biashara katika mfumo wa mtandao ambapo unajiunga unaanza kushirikisha marafiki wajiunge kwenye mtandao wako kadri wanavyojiunga na kukuza mtandao wako ndio unavyozidi kufanikiwa Kujiunga na kampuni ya bfsuma kwa Tanzania ni tsh 46,000 baada ya kujiunga unapewa mfuko wenye: -kadi ya uanachama -kitabu -pin ya kampuni -pakiti 10 za kahawa Baada ya kujiunga utaendelea kupanda cheo kutoka star 1,star 2,star 3,star 4,star 5,star 6 star 7,senior leader,diamond leader,senior diamond leader,crown leader na senior crown leader Lakini hii itategemea a na bidii yako na team unayoifanya nayo kazi chini yako Kuna faida 11 baada ya kujiunga na bfsuma 1.faida za reja reja mfano ukiwa mwanachama unanunua bidhaa Kama antidirr kwa 11500 wewe unaweza kuiuza kwa 21500 hiyo 10,000 ya ziada ni faida yako unapata papo kwa papo 2.faida kutoka kwenye mtandao wako mfano chochote team wanachofanya unapata % kutoka kwenye team yako 3.malipo unayopata kwa kila mwanachama unayemuingiza kwenye kampuni 4.mal
Available on Instagram Available on Instagram
John louis's listings
Show all
Are you a professional seller? Create an account