Luxury Watch Case (12 Slots) Hifadhi na linda saa zako kwa umaridadi na usalama! Watch case hii ya hali ya juu ina nafasi 12, iliyotengenezwa kwa material imara na premium finish. Ndani imewekwa kifaa cha velvet laini kinacholinda saa zako dhidi ya mikwaruzo. Ni chaguo bora kwa wapenzi wa saa au zawadi ya kipekee. ✅ Inabeba saa 12 ✅ Muonekano wa kifahari na ...
Original Stainless Steel Set ✨Unatafuta set ya thamani, isiyopauka, na ya kudumu kwa miaka? ???? Suluhisho limepatikana — Original Stainless Steel Set kutoka Rebby Luxurious Jewelry. ???? Haififii, haipauki, haibadiliki rangi! ???? Perfect kwa daily wear & special occasions. ???? OFISI YETU INATOA PROMO LEO: ???? Jumla: 35,000 kuanzia pcs 6 ???? Rejareja...
Je, unatafuta pete zinazokuongezea mvuto wa kifalme? Suluhisho imepatikana Pete zetu mpya za kifahari zimewasili kwa bei poa! Jumla kuanzia PC 6 = 5,000 Rejareja 8000 Tunapatikana Dar es salaam mbezi mwisho Tunafanya delivery kwa uhakka Dar & mikoani Call/WhatsApp 0746068337 Chagua eegance. Chagua Rebby Luxurous Jewelry