Ina uwezo wa kutoa tofali nne kwa wakati mmoja na pavings. Inatumia motor 3 za vibration zenye 2.2kw kila moja. Inakuja na toroli 2 za kubebea tofali, tool box na control box. Tunatoa free installation na training. Ina uwezo wa kufanya kazi 24/7 kwa shift. Warrant ni 6 months kwenye motors.
Sofa ya Kisasa na Yenye Ubora wa Hali ya Juu! Imetengenezwa kwa material imara na ya kudumu.Muundo mzuri, inafaa kwasebule au ofisi. Rangi na ukubwa wa kuvutia. Bei nafuu,maelewano yanaruhusiwa. Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi au kuiona!"