Luxury Watch Case (12 Slots) Hifadhi na linda saa zako kwa umaridadi na usalama! Watch case hii ya hali ya juu ina nafasi 12, iliyotengenezwa kwa material imara na premium finish. Ndani imewekwa kifaa cha velvet laini kinacholinda saa zako dhidi ya mikwaruzo. Ni chaguo bora kwa wapenzi wa saa au zawadi ya kipekee. ✅ Inabeba saa 12 ✅ Muonekano wa kifahari na ...
TUNAUZA MICHE YA MANANASI NA NDIZI KWA BEI POA KABISA TUNAPATIKANA KIWANGWA BAGAMOYO PWANI BEI YA MCHE WA NANASI SH 100 MCHE WA NDIZI SH 500 POA TUNATOA USHAULI WA KILIMO NJISI YA KUANDA SHAMBA MAWASILIANO NO 0714121506 KALIBUNI SANA KIWANGWA YENYE NEEMA
ENEO LINAUZWA KISESA -ukubwa wa eneo ni heka moja ( 70x70 ) -eneo lipo karibu na barabara ya lami -umeme, maji na barabara vyote vipo site -bei Milioni 25 📞 0743220097
Nyumba inapangishwa Chumba,sebule,jiko na choo ndani. (Self contained) Ina fence, maji ya dawasco na matenk ya kuhifadhi maji. Ipo mbezi malamba mawili. Km 2 kutoka barabara kubwa ya mbezi-kinyerezi.