Ina uwezo wa kutoa tofali nne kwa wakati mmoja na pavings. Inatumia motor 3 za vibration zenye 2.2kw kila moja. Inakuja na toroli 2 za kubebea tofali, tool box na control box. Tunatoa free installation na training. Ina uwezo wa kufanya kazi 24/7 kwa shift. Warrant ni 6 months kwenye motors.
Power Input: 320 Watts Voltage: 220V – 240V / 50-60Hz Base Size: 110 x 100 mm Speed (RPM): 14,000 RPM (vibrations per minute) Vibration Rate: ~28,000 OPM (oscillations per minute) Sandpaper Type: 1/4 Sheet (ya kawaida) Dust Collection: Ina mfumo wa kuvuta vumbi kwa usafi wa mazingira Weight: ~1.5 kg Material Use: Mbao, gypsum board, na baadhi ya chuma kilich...
CONNECTION POINT TEGETA. Karibu Connection point Tegeta pale KB Bar. Utapata nyama iliyopikwa kitaalam sana -Makange -Kivuruge -Changamoto -Kukaanga. Nyama hii ina serviwa na ndizi, ugali au chapati. Jiko lipo wazi masaa 24 kila siku kasoro Jumanne tu. Kwa mawasiliano zaidi weka order kupitia 0687575770. Tunafanya na delivery kwa watu wa karibu na Tegeta.