Mayai ya kienyeji yaliyotokana na kuku waliotunzwa kwa njia asilia, bila kutumia madawa ya kisasa. Yamejaa virutubisho vya asili, na yana kiini chenye rangi ya dhahabu, ishara ya afya bora. Yanapikwa haraka, yana ladha tamu, na ni chaguo bora kwa familia inayojali lishe
Nauza mashine ya barafu 120 kwa masaa 4 Tu Mashine inatumia umeme wa 5000 kwa barafu 120 hadi 150 Unauwezo wa kuuza barafu 250 hadi 300 Mashine hii pia ina makopo yake ya kugandisha barafu za Tofali.makopo 40 total Mashine wa biashara nzuri na inakupa faida kwa haraka. Wahi tuwahi mashine naiuza bei ya kutupa.
Hello..!! Jamn Wapendwa wateja wetu leo Tumewaletea SUFURIA za Umeme jamani Ambazo ndani Zinakaa Sufuria4, na bakuli2 jamni SIFA ZAKE *_Hurahisisha Mda,huchkua Mda kidogo Chakula kuwa Tayari hazina Mambo Mengi⚡-(ZINAOKOA MDA) *_Hazitumii Umeme Mwingi,huchkua Umeme kidg kuivisha Ni Chap kwa Haraka✨ *_Zinamwonekano wa kipekee Sana,Zipo kipekee yake hazifanani ...
Home & FurnitureKariakoo,Ilala,Dar,es, Salaam,Tanzania
Nta Safi Inapatikana! Tuna nta ya asili, safi na ya hali ya juu kwa ajili ya mradi wako wa ufugaji nyuki, biashara ya kutengeneza mishumaa na mizinga yako ya nyuki. Bei nafuu na ubora wa juu. Wasiliana nasi leo ili kupata yako! Nta #Nta #BidhaaAsili #Nta #NtaYaNyuki"** Price: TSH 25,000 per Kg. KG= 8PCS of beeswax foundation.