Only 4 adorable yellow and black pedigree Labrador pups left to be booked! They’ll be 8 weeks old and ready to go to their forever homes around Christmas 2025 — the perfect time to welcome a new best friend into your family. Their mum and dad are both pedigree Labradors with champion bloodlines, known for their gentle nature, intelligence, and loyalty. These...
Hello..!! Jamn Wapendwa wateja wetu leo Tumewaletea pressure cooker na Brenda Ni Moja Kati ya Vifaa ambayo vinatumia Umeme lakini vinaurahisi Sana kwa huduma za nyumbani au HOTELINI Yaani zipo chap mnoo: Tuanze na👇 PRESSURE COOKER! Ambayo inatumia takribani dk,15-20 Kuiisha MAHARAGE na huchkua dk,10 kuchemsha Maji kwa Haraka zaidi na haili Umeme Sana lakini ...
Nauza mashine ya barafu 120 kwa masaa 4 Tu Mashine inatumia umeme wa 5000 kwa barafu 120 hadi 150 Unauwezo wa kuuza barafu 250 hadi 300 Mashine hii pia ina makopo yake ya kugandisha barafu za Tofali.makopo 40 total Mashine wa biashara nzuri na inakupa faida kwa haraka. Wahi tuwahi mashine naiuza bei ya kutupa.
Semi Hollow original pici Artist Cherry 58 England na USA wanatumia sana Niko na Musical instrument .. unique heavy Duty pro guitarist Both Accoustic and electric vibes
Nauza shamba renye ukubwa wa ekari 200 kira ekari moja inauzwa raki mbiri na ishirin 220000 shamba hiri ripo kata ya mbwewe kijiji cha mpaji eneo nizuri sana gari njia safi muda wote unapita iwe kiangaz iwe masika
Nauza eneo la beach plort Tanga Pangani lenye ukubwa wa heka 11 lipo umbali wa kilometa 1 kutoka barabara kuu bei kwa kila Eka moja1 ni 35.M karibu sana wateja wangu Cm ziite sasa bado hujachelewa no.0659628665/=