Hello..!! Jamn Wapendwa wateja wetu leo Tumewaletea SUFURIA za Umeme jamani Ambazo ndani Zinakaa Sufuria4, na bakuli2 jamni SIFA ZAKE *_Hurahisisha Mda,huchkua Mda kidogo Chakula kuwa Tayari hazina Mambo Mengi⚡-(ZINAOKOA MDA) *_Hazitumii Umeme Mwingi,huchkua Umeme kidg kuivisha Ni Chap kwa Haraka✨ *_Zinamwonekano wa kipekee Sana,Zipo kipekee yake hazifanani ...
Home & FurnitureKariakoo,Ilala,Dar,es, Salaam,Tanzania
He'll..! Jamn wateja wetu leo tumekuja na SET nzuri Sana ya Sufuria na Flampeni ambazo zinakaa sufuria4, flampeni2, na bakuli3, jaman Wapendwa hii Ni OFFER!! Basi Tusiiache ipite jaman. Wahi Sasa📩 Tuma Order yako Mapema tukufanyie FREE DELIVERY BUREE POPOTE ULIPO NCHINI TUPE LOCATION TUNAKUJA HADI MLANGONI KWAKO. karibun Sanaa wapendwa wateja wetuu,🙏🏻🙏🏻
Home & FurnitureKariakoo,Ilala,Dar,es, Salaam,Tanzania
Karibu ujipatie meza ya chakula ya kisasa kabisa meza hii ni marble ngumu kama jiwe meza ni mpya kabisa pia viti ni vipya kabisa hii meza ni imara sana