Nyumba nzuri inauzwa Iko Mtaa wa Amani. mpiji Magie kituo Cha Daladala kinaitwa Machimbo Ina vyumba 3 Kwa ndani 1 Master viwili kawaida. jiko, Dinning na Sitting room na Public Toilet Nje Ina vitu vifuatavyo Vyumba vya kulala 2 Chumba 1 cha ofisi Frame 1 ya biashara Parking ya kutosha magari zaidi ya 5 Mabanda ya kufugia kuku zaidi ya 1000
pata power bank zenye uwezo mbali mbali 10000mAh kwa 45000 16000mAh kwa 55000 20000mAh kwa 75000 pia unapata flash na vifaa vingine vya kielectronic kwa bei nafuu kama vile Flash, memory card, earpods n.k