Hello..!! Jamn Wapendwa wateja wetu leo Tumewaletea pressure cooker na Brenda Ni Moja Kati ya Vifaa ambayo vinatumia Umeme lakini vinaurahisi Sana kwa huduma za nyumbani au HOTELINI Yaani zipo chap mnoo: Tuanze na👇 PRESSURE COOKER! Ambayo inatumia takribani dk,15-20 Kuiisha MAHARAGE na huchkua dk,10 kuchemsha Maji kwa Haraka zaidi na haili Umeme Sana lakini ...
Karibu ujipatie meza ya chakula ya kisasa kabisa meza hii ni marble ngumu kama jiwe meza ni mpya kabisa pia viti ni vipya kabisa hii meza ni imara sana