Nauza friza yangu ya Exquisite (Lita 200) ambayo nimeitumia kwa muda mrefu na bado ni nzima kabisa. Nimeamua kuiuza ili kupata nafasi zaidi ofisini kwangu kwa ajili ya maboresho. Sifa na Hali ya Friza: 1. Uwezo: Inagandisha vizuri sana na kwa haraka, inafaa sana kwa biashara ya vinywaji au vitu vya kugandisha. 2. Compressor Imara: Kama unavyoona kwenye picha...