Nyumba nzuri inauzwa
Iko Mtaa wa Amani. mpiji Magie kituo Cha Daladala kinaitwa Machimbo
Ina vyumba 3 Kwa ndani 1 Master viwili kawaida. jiko, Dinning na Sitting room na Public Toilet
Nje Ina vitu vifuatavyo
Vyumba vya kulala 2
Chumba 1 cha ofisi
Frame 1 ya biashara
Parking ya kutosha magari zaidi ya 5
Mabanda ya kufugia kuku zaidi ya 1000