Hello..!! Jamn Wapendwa wateja wetu leo Tumewaletea pressure cooker na Brenda Ni Moja Kati ya Vifaa ambayo vinatumia Umeme lakini vinaurahisi Sana kwa huduma za nyumbani au HOTELINI Yaani zipo chap mnoo: Tuanze na👇
PRESSURE COOKER!
Ambayo inatumia takribani dk,15-20 Kuiisha MAHARAGE na huchkua dk,10 kuchemsha Maji kwa Haraka zaidi na haili Umeme Sana lakini NI nzuri kwa Matumizi ya MAJUMBANI mwetu au sehem zetu za kazi
BRENDAR! Ambayo inatumia takribani Sec,30 kuvunjavunja na kutokea kimiminika kizurina kwa Haraka zaidi na hii pia haili Umeme kwa kasi zaidi lakini IPO FAST⚡Sana
Hivyo,Basi ndugu wateja wetu
Tuma Order hivi Sasa tujionee Ufanisi na Ubora wa bidhaa zetu
WARRANTY ON 1yr,Mwaka MZIMA
Tunakufanyia FREE DELIVERY popote ulipo nchini buree!!!
TUPE LOCATION TUNAKUJA HADI MLANGONI KWAKO 📩
YARA HOMEWARES TUAMINI NA SISI TUKUAMINISHE
karibun Sanaa,🙏🏻🙏🏻
Read more