Hello..!! Jamn Wapendwa wateja wetu leo Tumewaletea SUFURIA za Umeme jamani Ambazo ndani Zinakaa Sufuria4, na bakuli2 jamni
SIFA ZAKE
*_Hurahisisha Mda,huchkua Mda kidogo Chakula kuwa Tayari hazina Mambo Mengi⚡-(ZINAOKOA MDA)
*_Hazitumii Umeme Mwingi,huchkua Umeme kidg kuivisha Ni Chap kwa Haraka✨
*_Zinamwonekano wa kipekee Sana,Zipo kipekee yake hazifanani na sufuria za kawaida Zina mwonekano wakisasa na wakipekee Sanaa✨
*_Zimeundwa na Materials yakitofauti Sanaaa na ndio maan hata Ukijarib kutizama Vizuri Zina rangi Kama NYEUSI ikiwa na DOT'S za kuvutia mnoo👌
Karibun Sanaa Wapendwa wateja wetu Zipo Chache Sana hizi sufuria jmn unachotakiwa na Kuwahi TU.
Au unaweza ukatuma Order yako WhatsApp pia itakuwa vizuri Zaidi
TUMA ORDER YAKO TUPE LOCATION TUNAKUJA HADI MLANGONI KWAKO 📩
FREE DELIVERY BUREE POPOTE ULIPO NCHINI
YARA HOMEWARES TUAMINI NA SISI TUKUAMINISHE 😊
Karibun Sanaa,🙏🏻🙏🏻
Read more