Wahi chapu mzigo umeshuka bei maboss mtungi wa gas na regulator yake ni high pressure vyote bado vipya kabisa gas nimetumia siku 1 tu bado ina gas nipe 85,000 napatikana Magomeni Mawasiliano 0683106466 au 0750550828
Eneo la beach Plort linauzwa lipo mkwaja wilaya ya pangani tanga lina ukubwa wa heka 16 eneo lina hati miliki bei ni milioni 35 kwa heka moja eneo ni zuri sana kwa maelezo zaidi piga simu 0659628665
Shamba linauzwa lenye ukubwa wa heka 50 lipo umbali wa kilometa 1 kutoka barabara kuu ya lami eneo zuri sana linafaa kwa uwekezaji makazi kilimo ufugaji na nk kwa maelezo zaidi piga 0659628665 shamba bei ni milion mbili kwa heka moja.