Nyumba nzuri inauzwa Iko Mtaa wa Amani. mpiji Magie kituo Cha Daladala kinaitwa Machimbo Ina vyumba 3 Kwa ndani 1 Master viwili kawaida. jiko, Dinning na Sitting room na Public Toilet Nje Ina vitu vifuatavyo Vyumba vya kulala 2 Chumba 1 cha ofisi Frame 1 ya biashara Parking ya kutosha magari zaidi ya 5 Mabanda ya kufugia kuku zaidi ya 1000
He'll..! Jamn wateja wetu leo tumekuja na SET nzuri Sana ya Sufuria na Flampeni ambazo zinakaa sufuria4, flampeni2, na bakuli3, jaman Wapendwa hii Ni OFFER!! Basi Tusiiache ipite jaman. Wahi Sasa📩 Tuma Order yako Mapema tukufanyie FREE DELIVERY BUREE POPOTE ULIPO NCHINI TUPE LOCATION TUNAKUJA HADI MLANGONI KWAKO. karibun Sanaa wapendwa wateja wetuu,🙏🏻🙏🏻
Home & FurnitureKariakoo,Ilala,Dar,es, Salaam,Tanzania