Jamni ndugu wateja wetu Ile SET yetu ya sufuria4, Flampeni 3, bakuli2, vijiko na mwiko Basi imewadia jamni karibun Sana Wapendwa wateja wetu na hizi SET Zimebaki Chache mnoo wahi Sasa DM Chap 📩 Tuma Order yako Tukufanyie FREE DELIVERY popote ulipo nchini. karibun Sanaa YARA HOMEWARES TUAMINI NA SISI TUKUAMINISHE 🙏🏻🙏🏻
This is a Belgium made BunkBed which can withstand around 80kgs of human weight on each bed.....Selling it because my children have already grownup and it has no nails but can be assembled and dismantled with allene keys and very handy to carry with you wherever you go....Serious buyers can call me on 0743020001.....Price is negotiable
Home & FurnitureMshihiri Street, Morogoro Road, City Center
Ujipatie ultrasonic humidifier kwa Tsh 10,000 tu na ofa ya chupa moja ya marashi. Kwa matumizi ya nyumbani, ofisini, na hata kwenye gari. Wasiliana nasi kwa simu namba 0628892260 & 0619080040 & 0629119046 Karibuni sana
He'll..! Jamn wateja wetu leo tumekuja na SET nzuri Sana ya Sufuria na Flampeni ambazo zinakaa sufuria4, flampeni2, na bakuli3, jaman Wapendwa hii Ni OFFER!! Basi Tusiiache ipite jaman. Wahi Sasa📩 Tuma Order yako Mapema tukufanyie FREE DELIVERY BUREE POPOTE ULIPO NCHINI TUPE LOCATION TUNAKUJA HADI MLANGONI KWAKO. karibun Sanaa wapendwa wateja wetuu,🙏🏻🙏🏻
Home & FurnitureKariakoo,Ilala,Dar,es, Salaam,Tanzania
1- Ipo katika eneo lenye utulivu. 2- lnavyumba 3, jiko, stoo, bafu na choo cha self na pubilc. 3- lna eneo la kuegesha magari zaidi ya manne 4- Ina miti ya matunda mbalimbali na migomba 5- Ina umbali wa kama mita 150 kutoka barabara ya lami. 6- Ina nyumba ya mfanyakazi na choo na bafu la nje. 7- Inapangishwa na mwenyenyumba hivyo hakuna mtu wa kati / wapambe...
Nyumba ipo Dege Beach karibu na Dege Beach round about ukitokea Boko Magengeni. km 1 toka barabara ya Lami inayoenda Dege Beach ni mpya bado haijamaliziwa vitu vichache kama tiles ina vyumba vitatu sebule master bed room na puplic toilet bei ni maelewano kwa mawasiliano piga 0656380543
Shamba linauzwa lipo mbwewe pwani lina ukubwa wa heka 50 lipo umbali wa kilometa 4kutoka barabara kuu ya lami eneo ni zuri sana bei ni laki nne tu kwa heka moja pia unaweza kupiga simu namba 0659628662 kwa maelezo zaidi.