This is a Belgium made BunkBed which can withstand around 80kgs of human weight on each bed.....Selling it because my children have already grownup and it has no nails but can be assembled and dismantled with allene keys and very handy to carry with you wherever you go....Serious buyers can call me on 0743020001.....Price is negotiable
Home & FurnitureMshihiri Street, Morogoro Road, City Center
Hello..!! Jamn Wapendwa wateja wetu leo Tumewaletea SUFURIA za Umeme jamani Ambazo ndani Zinakaa Sufuria4, na bakuli2 jamni SIFA ZAKE *_Hurahisisha Mda,huchkua Mda kidogo Chakula kuwa Tayari hazina Mambo Mengi⚡-(ZINAOKOA MDA) *_Hazitumii Umeme Mwingi,huchkua Umeme kidg kuivisha Ni Chap kwa Haraka✨ *_Zinamwonekano wa kipekee Sana,Zipo kipekee yake hazifanani ...
Home & FurnitureKariakoo,Ilala,Dar,es, Salaam,Tanzania
Shamba linauzwa lipo mbwewe lina ukubwa wa heka 100 bei ni laki nne umbali kutoka barabara kuu ni kilometa 4 kwa maelezo zaidi piga simu namba 0659628665
I brought this from shoppers supermarket but I brought the wrong bulb they wouldn't let me exchange because the box is slightly damaged The bulb had not been used, the bulb cost 5000 from shoppers Brand New buld, the box the bulb comes in is damaged LED Tronic light bulb 20 watt LE 2027-DL I brought the wrong light bulb from shoppers for 5000 unfortunately t...
NYUMBA INAUZWA MILION 95 Chamazi, Temeke - Dar es Salaam 📞 Simu/WhatsApp: +255 744 993 715 ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ SIFA ZA NYUMBA: ✅ Vyumba 3 vya kulala ( chumba kimoja ni Master Bedroom) ✅ Sebule kubwa ya kisasa ✅ Jiko la kisasa lenye makabati ✅Dining room ✅ Choo cha wageni (Public Toilet) ✅ Umeme na maji vipo ✅Electricity Fence ✅Geti la Rimoti ✅Full Ac ✅ Dakika cha...
Nauza mashine ya barafu 120 kwa masaa 4 Tu Mashine inatumia umeme wa 5000 kwa barafu 120 hadi 150 Unauwezo wa kuuza barafu 250 hadi 300 Mashine hii pia ina makopo yake ya kugandisha barafu za Tofali.makopo 40 total Mashine wa biashara nzuri na inakupa faida kwa haraka. Wahi tuwahi mashine naiuza bei ya kutupa.
Wapendwa wateja wetu leo Tumewaletea SET ya FLAMPENI TU ambazo zipo pic,4 TU!! Kwa TSH,150,000 TU....!! Karibun Sana wapendwa wetu wateja zipo Chache Mnoo jmn Nawaomba Tusiizache jamn,🙏🏻🙏🏻 Tuma Order yako Tukufanyie FREE DELIVERY popote ulipo nchini buree Tupe Location tunakuja Hadi mlangoni kwako YARA HOMEWARES TUAMINI NA SISI TUKUAMINISHE, 🙏🏻🙏🏻
Home & FurnitureKariakoo,Ilala,Dar,es, Salaam,Tanzania
Eneo la beach Plort linauzwa lenye ukubwa wa heka 10 lipo umbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu ya lami bei ni milioni 30 kwa heka moja eneo ni zuri sana kwa maelezo zaidi piga simu namba 0659628665
GARI INAUZWA Make:Toyota Model:Alphard Engine Capacity:2390cc✅ Year of man:2010🔥 Full ac Full docs. GARI NI NZURI SANA IWAHI CHAP SANA. BEI:24,500,000🔥
Hii pikipiki ipo kwenye hali nzuri sana, ilikua inatumika kwa matumizi binafsi ya mmiliki na haikuwahi kutumika kama boaboda. Njoo ujichukilie pikipiki nzuri kwa bei rahisi. FULL DOCUMENTS Haina mbaambamba. 0655 594859
KWA KAZI NZURI NA SAFI ZA ELECTRIC FENCE????⚡ Ushauri Na Huduma Bora za Ufungaji wa Electric Fence, Uuzaji wa Vifaa Fika Dukani Kwetu Au Tupigie Leo kwa Maelezo zaidi.