Shamba linauzwa lipo mbwewe lina ukubwa wa heka 100 bei ni laki nne umbali kutoka barabara kuu ni kilometa 4 kwa maelezo zaidi piga simu namba 0659628665
Nyumba inauzwa 300M. (Sqm600) . Mbagala kizuiyani barabarani pembeni ya Mahakama ya kuu mbagala na soko la kizuiyani. Nyumba ina Hati miliki, ina fremu 5 za biashara na Vyumba 5 vya kulala, Eneo ni kubwa, unaweza kujenga gorofa, ukumbi, apartment au fremu za kisasa mana eneo ni la biashara. Nyumba Haina Kipengele Chochote. Mawasiliano O654542366 Mmiliki, kar...