Wapendwa wateja wetu leo Tumewaletea SET ya FLAMPENI TU ambazo zipo pic,4 TU!! Kwa TSH,150,000 TU....!! Karibun Sana wapendwa wetu wateja zipo Chache Mnoo jmn Nawaomba Tusiizache jamn,🙏🏻🙏🏻 Tuma Order yako Tukufanyie FREE DELIVERY popote ulipo nchini buree Tupe Location tunakuja Hadi mlangoni kwako YARA HOMEWARES TUAMINI NA SISI TUKUAMINISHE, 🙏🏻🙏🏻
Home & FurnitureKariakoo,Ilala,Dar,es, Salaam,Tanzania
Shamba linauzwa lipo mbwewe pwani lina ukubwa wa heka 50 lipo umbali wa kilometa 4kutoka barabara kuu ya lami eneo ni zuri sana bei ni laki nne tu kwa heka moja pia unaweza kupiga simu namba 0659628662 kwa maelezo zaidi.
Eneo la beach Plort linauzwa lenye ukubwa wa heka 10 lipo umbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu ya lami bei ni milioni 30 kwa heka moja eneo ni zuri sana kwa maelezo zaidi piga simu namba 0659628665
Nauza mashine ya barafu 120 kwa masaa 4 Tu Mashine inatumia umeme wa 5000 kwa barafu 120 hadi 150 Unauwezo wa kuuza barafu 250 hadi 300 Mashine hii pia ina makopo yake ya kugandisha barafu za Tofali.makopo 40 total Mashine wa biashara nzuri na inakupa faida kwa haraka. Wahi tuwahi mashine naiuza bei ya kutupa.
Wahi chapu mzigo umeshuka bei maboss mtungi wa gas na regulator yake ni high pressure vyote bado vipya kabisa gas nimetumia siku 1 tu bado ina gas nipe 85,000 napatikana Magomeni Mawasiliano 0683106466 au 0750550828
Shamba linauzwa lipo mbwewe lina ukubwa wa heka 100 bei ni laki nne umbali kutoka barabara kuu ni kilometa 4 kwa maelezo zaidi piga simu namba 0659628665
Ujipatie ultrasonic humidifier kwa Tsh 10,000 tu na ofa ya chupa moja ya marashi. Kwa matumizi ya nyumbani, ofisini, na hata kwenye gari. Wasiliana nasi kwa simu namba 0628892260 & 0619080040 & 0629119046 Karibuni sana
Jipatie bathroom cabinet na kioo chake kwa bei ya kiwandani . Wateja mnarubusiwa kufika kiwandani Kama unataka order kubwa ????????????bidhaa ni nzuri mno. Wahi kabla hazijaisha utanishukuru 0657430921 piga kwa namba hi uletwe mpaka kiwandani.
Home & FurnitureLazaro Kapaya` S House, House Number 02, Mutayoba Street Alasala House Number 02