Nyumba inauzwa 300M. (Sqm600) . Mbagala kizuiyani barabarani pembeni ya Mahakama ya kuu mbagala na soko la kizuiyani. Nyumba ina Hati miliki, ina fremu 5 za biashara na Vyumba 5 vya kulala,
Eneo ni kubwa, unaweza kujenga gorofa, ukumbi, apartment au fremu za kisasa mana eneo ni la biashara.
Nyumba Haina Kipengele Chochote.
Mawasiliano O654542366 Mmiliki, karibu tufanye biashara.