Wahi chapu mzigo umeshuka bei maboss mtungi wa gas na regulator yake ni high pressure vyote bado vipya kabisa gas nimetumia siku 1 tu bado ina gas nipe 85,000 napatikana Magomeni Mawasiliano 0683106466 au 0750550828
Eneo la beach Plort linauzwa lenye ukubwa wa heka 10 lipo umbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu ya lami bei ni milioni 30 kwa heka moja eneo ni zuri sana kwa maelezo zaidi piga simu namba 0659628665
NYUMBA INAUZWA MILION 95 Chamazi, Temeke - Dar es Salaam 📞 Simu/WhatsApp: +255 744 993 715 ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ SIFA ZA NYUMBA: ✅ Vyumba 3 vya kulala ( chumba kimoja ni Master Bedroom) ✅ Sebule kubwa ya kisasa ✅ Jiko la kisasa lenye makabati ✅Dining room ✅ Choo cha wageni (Public Toilet) ✅ Umeme na maji vipo ✅Electricity Fence ✅Geti la Rimoti ✅Full Ac ✅ Dakika cha...