Nauza vifaa vyangu vya studio vilivyopo pichani kasoro laptop na hiyo Meza na kiti vilivyobaki vyote vipo kwenye package hata hilo carpet lipo ndani ya package kubwa wake ni futi 17×12,maongezi yapo kidogo package ina vitu vingi vizuri ukafika kuona boss, vifaa unaruhusiwa kutest kama tutakuwa serious kununua
Medeli mc 760 Professional Keyboard + Stand + Book Holder Piano stand + Book Holder VIDEO : https://youtu.be/ReQHe69RDYU PRICE: 550,000 Whatsapp Only: 0765469542