Jbl harman f9-5 pro Zina sauti ya kutosha....zina touch control pia unaweza kuongelea simu... Zina power bank unaweza kuchaji simu Bei 12000 ( deriverly ipo ndan ya dar) Napatikana dar airport ????FOR MORE INFO ???? DIAL 0618328218 ????????????
Semi Hollow original pici Artist Cherry 58 England na USA wanatumia sana Niko na Musical instrument .. unique heavy Duty pro guitarist Both Accoustic and electric vibes
Nauza vifaa vyangu vya studio vilivyopo pichani kasoro laptop na hiyo Meza na kiti vilivyobaki vyote vipo kwenye package hata hilo carpet lipo ndani ya package kubwa wake ni futi 17×12,maongezi yapo kidogo package ina vitu vingi vizuri ukafika kuona boss, vifaa unaruhusiwa kutest kama tutakuwa serious kununua