ATOUCH X19LIFE TABLET haina tatizo lolote. Ina 512Gb, unaipata ikiwa full box;- usb type c charger, wireless keyboard, Earpod, cover & protector vipo. Kwa Tshs. 275,000/=. INapatikana: kimara korogwe. 0767950054. Karibuni sana.
Read more
Specs
BrandsOther
Display Size (Inch)10
Storage (GB)512GB
Battery (mAh)10000
OSAndroid
Description
ATOUCH X19LIFE TABLET haina tatizo lolote. Ina 512Gb, unaipata ikiwa full box;- usb type c charger, wireless keyboard, Earpod, cover & protector vipo. Kwa Tshs. 275,000/=. INapatikana: kimara korogwe. 0767950054. Karibuni sana.
Kitasa hiki kina funguka kwa kutumia password,card na alama ya kidole(finger-print). Pia kitasa hiki kinakuja na funguo mbili za kawaida kwa ajili ya matumizi ya ziada. Tunafunga ktk nyumba,ofisi,apartment,hoteli,lodge na maeneo mengine. Unaweza kutupata ktk mitandao yote ya kijamii kwa kuandika neno Gordon Technology na utaona logo yetu yenye jina la Gordon...
Cctv camera hii ni ya siri. Tuna maanisha ukiitazama ikiwa imefungwa ktk eneo husika hautoweza kuitambua kuwa ni cctv camera. Hii inasaidia wahalifu kutojua ni sehemu gani zilipofungwa camera kwa sababu wahalifu wengi wana tabia ya kukwepa camera.
In excellent condition The Motorola Moto G05 is running Android 15, featuring a 50MP main camera, a super-bright 6.7-inch display with stereo speakers and Dolby Atmos, and a powerful MediaTek Helio G81 Extreme processor with up to 16GB RAM Boost for smooth multitasking. It boasts a long-lasting 5200 mAh battery, a stylish and durable vegan leather back, and ...