Unatafuta projector ya picha safi kwa office, movie night au ibada? Hii Epson 3LCD WXGA iko kwenye hali nzuri sana, inafanya kazi vizuri bila shida. 🔹 Picha ni nzuri (HD quality) 🔹 Ina HDMI, USB, na AV ports 🔹 Inatumia remote (ikiwa unayo) 🔹 Inafaa kwa presentation, sinema au shule 💰
Karibu Gen Z Games tunaweka magame kwa bei rafiki sana kama hili na mengineyo utakayo hitaji na delivery tunafanya nauli juu yako whatsapp/ call/sms 0654968393/0620138600 Bei ni 4000/= tu