Unatafuta projector ya picha safi kwa office, movie night au ibada? Hii Epson 3LCD WXGA iko kwenye hali nzuri sana, inafanya kazi vizuri bila shida. 🔹 Picha ni nzuri (HD quality) 🔹 Ina HDMI, USB, na AV ports 🔹 Inatumia remote (ikiwa unayo) 🔹 Inafaa kwa presentation, sinema au shule 💰
ISUZU TRUCK NZURI, USED LAKINI IPO NA CONDITION NZURI NA ENGINE YAKE PIA NI NZURI KWA ATAKAYEHITAJI TUWASIANE KWA NAMBA :0754463055 TUPO: MBAGALA, MGENINANI
Shamba linauzwa lipo kijiji cha bago kata ya kiwangwa halimashauli ya chalinze wilaya ya bagamoyo linaukubwa wa heka 100 linafa kulima mazao ya aina yoyote au kufuga kisasa umbali kutoka lami kilometa 9 barabara safi mpaka shamba mawasiliano no 0714121506 whatsapp ipo bei sh laki tano kwa heka moja kalibuni sana kiwangwa yenye neema kuona bule asanteni sana