Kitasa hiki kina funguka kwa kutumia password,card na alama ya kidole(finger-print). Pia kitasa hiki kinakuja na funguo mbili za kawaida kwa ajili ya matumizi ya ziada. Tunafunga ktk nyumba,ofisi,apartment,hoteli,lodge na maeneo mengine. Unaweza kutupata ktk mitandao yote ya kijamii kwa kuandika neno Gordon Technology na utaona logo yetu yenye jina la Gordon...
nauza tv yangu TCL inch 43 ni normal sio smart imetumika miez miwili haina kipengele chochote ina remote na box lake bei 550k ????0714572740 ????chanika delivery inafanyika dar na mikoani ✅