NYUMBA HINAUZWA hipo keko magurumbasi karibu na sheli GBP yenye vyuma 11 na flem moja ya mbele hinatakiwa milioni miambili na hasini tyuu wahi mapema hujipatie nyumba
Hello,Nyumba inauzwa,Milion 95,unaweza uza maji kisima chakwako binafsi, kuna fremu ya duka unaweza Jiajiri,nyumba yenye vyumba 3 vyakulala self kila kitu ndani,sebule kubwa, dinning, jiko, nyumba ya mlinzi, choo cha nje safi lkn kiko ndani ya geti,fremu ya duka, na ukuta pamoja na geti, kisima inajitemea kiko ndani na tanki limejengewa mnara,umeme tayari up...
Nyumba yenye vyumba vinne vya kulala, sebule, jiko, chumba kimoja kinajitegemea choo, kuna choo cha pamoja, ina ukuta mkubwa kwa usalama na faragha, ipo laini ya tatu kutoka njia kuu, nyumba ni kongwe inakalika, pia unaweza kuvunja na kujenga mpya. Tutafute .