Kifaa hiki huwezesha cctv camera zako ziendelee ku rekodi matukio hata kama umeme umekatika. Umeme ukikatika automatically kifaa hiki kitajiwasha na hata umeme ukirudi basi automatically kifaa hiki kitajizima ili umeme uendelee kufanya kazi.
Focusrite scarlett 2i2, 3rd generation. Brand new kwenye package yake kutoka focusrite wenyewe. Inakuja na software bundle na discount coupon kutoka kampuni mbali mbali za vifaa vya muziki. Niliagiza kutoka UK wakanitumia unit mbili. Bahati inaweza kuwa yako chukua hii nakupa bei kama zawadi.
KIWANJA KIZURI CHA MAKAZI NA BIASHARA KINAUZWA HAPA OYSTERBAY DODOMA, KWA WEWE MUWEKEZAJI WA APARTMENT NA MADUKA TAYARI TUMEKUANDALIA RAMANI YA MAJENGO UNAWEZA KUONA IDADI YA NYUMBA ZITAKAZO WEZA KUKAA. UTAONA IDADI YA MADUKA YANAYO WEZA KUKAA HAPA, ✅Matumizi ni Makazi na Biashara SQM - 1100, Kiwanja hiki ni cha kwanza Barabara mpya ya Lami ya Oysterbay - un...