Numark Mixtrack Pro II – DJ Controller (Used) 💰 Bei: 700,000/= 📍 Mahali: DSM, Tanzania ✔️ Hali nzuri, inafanya kazi 100% ✔️ Jog wheels laini & responsive ✔️ Performance pads + EQ kamili ✔️ Inafaa kwa Beginner hadi Pro DJ ✔️ USB powered – rahisi kubeba 📞 Wasiliana: 0713 533 662 🚚
Focusrite scarlett 2i2, 3rd generation. Brand new kwenye package yake kutoka focusrite wenyewe. Inakuja na software bundle na discount coupon kutoka kampuni mbali mbali za vifaa vya muziki. Niliagiza kutoka UK wakanitumia unit mbili. Bahati inaweza kuwa yako chukua hii nakupa bei kama zawadi.