Focusrite scarlett 2i2, 3rd generation. Brand new kwenye package yake kutoka focusrite wenyewe. Inakuja na software bundle na discount coupon kutoka kampuni mbali mbali za vifaa vya muziki. Niliagiza kutoka UK wakanitumia unit mbili. Bahati inaweza kuwa yako chukua hii nakupa bei kama zawadi.
🔥 AMPLIFIER CA 20+ SOUND STANDARD – MPYA KABISA 🔥 💥 Power amplifier nzito kwa subwoofer & matumizi ya kazi (events, disco, kanisani, ukodishaji) ✅ Brand: Sound Standard ✅ Model: CA 20+ ✅ Hali: Mpya kabisa ✅ Power: Nzito, bass safi na nguvu ✅ Transformer: Toroidal kubwa ✅ Capacitors: Nyingi (power stable, haichoki haraka) ✅ Cooling: Fan mbili + heatsink p...
Kifaa hiki huwezesha cctv camera zako ziendelee ku rekodi matukio hata kama umeme umekatika. Umeme ukikatika automatically kifaa hiki kitajiwasha na hata umeme ukirudi basi automatically kifaa hiki kitajizima ili umeme uendelee kufanya kazi.