Focusrite scarlett 2i2, 3rd generation. Brand new kwenye package yake kutoka focusrite wenyewe. Inakuja na software bundle na discount coupon kutoka kampuni mbali mbali za vifaa vya muziki. Niliagiza kutoka UK wakanitumia unit mbili. Bahati inaweza kuwa yako chukua hii nakupa bei kama zawadi.
Activation Service kwa wale wenye na Windows 10 & 11 zinazodai Activation ama ( Activate Windows ) * Utawekewa " Digital License" na sio CRACK * Service itafanyika Online ndani ya dakika 3 kwa 10 kutegemea na Spidi ya internet & Kama Windows haina virus * Permanent Activation, with Auto Renewal * Na kama una Microsoft Office 2016, 2019, 2021 au 2024 ...