Cctv camera hii ni ya siri. Tuna maanisha ukiitazama ikiwa imefungwa ktk eneo husika hautoweza kuitambua kuwa ni cctv camera. Hii inasaidia wahalifu kutojua ni sehemu gani zilipofungwa camera kwa sababu wahalifu wengi wana tabia ya kukwepa camera.
Handbag Wireless Blue tooth Speaker LED Outdoor Karaoke Speaker Support FM Radio TF Card (Brown and Grey Color) - 88 Piece available - Wholesale price 35000 tzs
Nauza shamba la Umwagiliaji shamba hilo lipo Kiwangwa Bagamoyo linaukubwa wa hekari 30 kila eka moja inauzwa 1.5M shamba lipo umbali wa kilometa 14. Kutoka barabara kuu ya lami