Focusrite scarlett 2i2, 3rd generation. Brand new kwenye package yake kutoka focusrite wenyewe. Inakuja na software bundle na discount coupon kutoka kampuni mbali mbali za vifaa vya muziki. Niliagiza kutoka UK wakanitumia unit mbili. Bahati inaweza kuwa yako chukua hii nakupa bei kama zawadi.
Nauza shamba Kiwangwa bago lenye ukubwa wa eka 160 lipo umbali wa kilometa 8 kutoka barabara kuu ya lami bei kwa kila eka moja laki 300,000/= kwa mawasiliano zaidi piga no..0659628665/=