Original Stainless Steel Set ✨Unatafuta set ya thamani, isiyopauka, na ya kudumu kwa miaka? ???? Suluhisho limepatikana — Original Stainless Steel Set kutoka Rebby Luxurious Jewelry. ???? Haififii, haipauki, haibadiliki rangi! ???? Perfect kwa daily wear & special occasions. ???? OFISI YETU INATOA PROMO LEO: ???? Jumla: 35,000 kuanzia pcs 6 ???? Rejareja...
Perfect combo???????????? Hii ni combo pambe kabisa ????, inakuwa bangle na hereni zake , zote hizi ni stainless steel haipauki, pia unaweza peleka kam zawadi kwa rafiki wa kike , mama, dada, auntie. Jumla 15000/= kuanzia pc 3 Rejareja 18,000/= Tunapatikana Dar es salaam mbezi mwisho Delivery tunafanya Dar na mikoani tunatuma Kwa uaminifu Call/WhatsApp #0746...
nauza tv yangu TCL inch 43 ni normal sio smart imetumika miez miwili haina kipengele chochote ina remote na box lake bei 550k ????0714572740 ????chanika delivery inafanyika dar na mikoani ✅
kiwanja size sq meter 1550 hakidaiwi kina hati, umbali toka barabara ya bagamoyo ni meter 300 huduma zote za muhimu kama umeme, maji vipo tayari search report ipo tayari. kiwanja kinafaa kwa matumizi ya kujenga apartment au makazi ya kawaida,kiwanda, shule n.k maongezi ya bei yapo kimepimwa tayari
Two door 409 L glass display / beverage cooler fridge Brand: Bruhm Capacity: 409 L Height: 191 cm Width: 89 cm Depth: 53 cm Electrical Specifications: 180 W, 2.78 kWh / 24 hours