Ina uwezo wa kutoa tofali nne kwa wakati mmoja na pavings. Inatumia motor 3 za vibration zenye 2.2kw kila moja. Inakuja na toroli 2 za kubebea tofali, tool box na control box. Tunatoa free installation na training. Ina uwezo wa kufanya kazi 24/7 kwa shift. Warrant ni 6 months kwenye motors.
pata vifaa vya kielectronic mfano pasi, memory card, wireless earphones, earpods, fast chager, power bank, na vifaa vingine vya kielectronic kwa bei nafuu kabisaa karibuni sanaa