Ina uwezo wa kutoa tofali nne kwa wakati mmoja na pavings. Inatumia motor 3 za vibration zenye 2.2kw kila moja. Inakuja na toroli 2 za kubebea tofali, tool box na control box. Tunatoa free installation na training. Ina uwezo wa kufanya kazi 24/7 kwa shift. Warrant ni 6 months kwenye motors.
Nyumba inauzwa njiro tanesko ina bedrooms tatu sebule dining jiko chumba kimòja ni master inauzwa na kila kitu ndani ikiwepo masofa vitanda Meza TV Kwa maelezo zaidi piga simu