🎉 UNATAFUTA MASHINE BORA YA KUTOTOLESHEA VIFARANGA? 🎉
Usitafute tena! Tunakuletea Modern Incubators zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu 💯
🔹 ZINAPATIKANA KWA UWEZO TOFAUTI WA MAYAI:
🥚 Mayai 30 – Tsh 200,000
🥚 Mayai 42 – Tsh 270,000
🥚 Mayai 60 – Tsh 350,000
🥚 Mayai 75 – Tsh 400,000
🥚 Mayai 120 – Tsh 450,000
🥚 Mayai 140 – Tsh 550,000
🛠️ SIFA KALI ZA MASHINE ZETU ZA KISASA:
✅ Zinatumia Solar (DC) bila inverter
✅ Zinatumia betri ya gari
✅ Zinatumia umeme wa kawaida (AC)
✅ Zinatunza joto zaidi ya masaa 12 hata umeme ukikatika
✅ Automatic – zinageuza mayai zenyewe
✅ Zinangua mayai ya kuku, kware, bata mzinga, kanga n.k.
✅ Warranty ya mwaka 1
✅ Matumizi madogo sana ya umeme
✅ Ufanisi wa hali ya juu (hadi 100%)
📍 TUNAPATIKANA: Dar es Salaam
📦 Tunasafirisha mikoa yote Tanzania
📞 Wasiliana nasi sasa: 0717972617
🔥 Wekeza leo, vuna vifaranga kesho! 🔥
Read more