*Grain Moist Tester-Smart Sensor.*
Ni kifaa kinachopima *UNYEVU* katika mazao. Hiki kitakusaidia kuhifadhi mazao katika hali ya usalama na yakiwa katika hali ya ukavu na kuhifadhika kwa muda mrefu bila kuharibika.
● *Gharama* : 150,000/=TZSHs na 200,000/=TZSHs.
● *Mawasiliano* : *0764388836* au *0652402270*
☆Tunafanya *Free Delivery* ndani ya *DSM* mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.
☆Tunapatikana Dar Es *Salaam-Kariakoo mtaa wa Nyamwezi na Mkunguni.*
Read more