Nauza shamba lenye ukubwa wa Eka 300 lipo umbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu ya lami shamba hili linapatikana Mbwewe shamba linafaa kwa kilomo ufugaji na makazi mfano wa kilimo vinavyo stawi
Mkonge
Mahindi
Ufuta
Alizeti
Minazi
Nanasi
Mihogo
Michungwa
Miembe kwa mawasiliano zaidi piga no
0659628665