Original Perfumes with long lasting Perfume ya Kipekee Harufu ya Kuvutia Isiyosahaulika. Perfume yenye harufu tamu na ya kuvutia inayodumu kwa muda mrefu, ikikupa kujiamini siku nzima. Call/Whatsapp now for Order
Nauza friza yangu ya Exquisite (Lita 200) ambayo nimeitumia kwa muda mrefu na bado ni nzima kabisa. Nimeamua kuiuza ili kupata nafasi zaidi ofisini kwangu kwa ajili ya maboresho. Sifa na Hali ya Friza: 1. Uwezo: Inagandisha vizuri sana na kwa haraka, inafaa sana kwa biashara ya vinywaji au vitu vya kugandisha. 2. Compressor Imara: Kama unavyoona kwenye picha...
Inatoa tofali nne hadi sita kwa wakati mmoja Inafyatua pavings. Inafyatua hollow blocks. Inafyatua carb stone. Inafyatua tofali za 5inch na 6inch. Inafyatua tofali 2000 kwa siku. Ni mashine imara na nzuri. Zimetoka China moja kwa moja, bei yake ni nafuu sana.