This is a Belgium made BunkBed which can withstand around 80kgs of human weight on each bed.....Selling it because my children have already grownup and it has no nails but can be assembled and dismantled with allene keys and very handy to carry with you wherever you go....Serious buyers can call me on 0743020001.....Price is negotiable
Home & FurnitureMshihiri Street, Morogoro Road, City Center
Kwa wanaohitaji kifus na kokoto vinapatikana kisarawe mjin Kwa Bei nafuu kokoto imara na nzur Kwa wanaohitaji tuwasiliane Kwa maelezo zaid...0786267138
Mayai ya kienyeji yaliyotokana na kuku waliotunzwa kwa njia asilia, bila kutumia madawa ya kisasa. Yamejaa virutubisho vya asili, na yana kiini chenye rangi ya dhahabu, ishara ya afya bora. Yanapikwa haraka, yana ladha tamu, na ni chaguo bora kwa familia inayojali lishe
Nyumba nzuri inauzwa Iko Mtaa wa Amani. mpiji Magie kituo Cha Daladala kinaitwa Machimbo Ina vyumba 3 Kwa ndani 1 Master viwili kawaida. jiko, Dinning na Sitting room na Public Toilet Nje Ina vitu vifuatavyo Vyumba vya kulala 2 Chumba 1 cha ofisi Frame 1 ya biashara Parking ya kutosha magari zaidi ya 5 Mabanda ya kufugia kuku zaidi ya 1000
Nyumba inauzwa ina square meter 426 Nyumba ina vyumba vitatu viwili master sitting rooom daining room jiko maji na toilet ya ndani pia nje kuna chumba sebule na choo cha ndani na nje pia kuna choo parking ya gar na sehemu pakupumzikia
Nauza shamba la kulima nanasi lenye ukubwa wa heka 5 lipo umbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu ya lami kila eka moja inauzwa 2.M Gar inafika mpaka shamba mwasiliano zaidi Piga no...0659628665/=
The Baby Care Kits is a nursery complete health care kit that includes 10 grooming and health care items essential for any child. It comes with a newborn baby scissors, nail files, newborn special brushes, nail clippers, newborn special combs, newborn nasal aspirators, electronic thermometer, medication feeder (split design), chew teeth, finger toothbrush.
Spoon Mug nzuri yenye mfuniko wa mbao. Nzuri sana kuandika maneno machache, inaweza kuwa ujumbe/Logo (branding) Inakuwa na mfuniko wake na Box lake la kuhifadhia kama zawadi.
Plot for sale in Bagamoyo ukuni area block 4 , with full documents including title deed and all land rent paid around 597 sqm corner plot. contact for further details. 0787-088481