SWAHILI LANGUAGE Faida za VWash 1. Kubalance pH (pH hutakiwa kuwa kati ya 3.5 -4.5 na hii husaidia kuzuia infection na changamoto nyingine) VWash itakusaidia kurudisha pH yako kwenye vipimo hivyo 2. Kuondoa Muwasho na ukavu sehemu za siri, fomula ya lactid acid iliyomo kwenye 'vwash' husaidia kuondoa miwasho na kuulinda uke. 3. VWash pia hutumika kutibu tati...