Shamba linauzwa lenye ukubwa wa heka 50 lipo umbali wa kilometa 1 kutoka barabara kuu ya lami eneo zuri sana linafaa kwa uwekezaji makazi kilimo ufugaji na nk kwa maelezo zaidi piga 0659628665 shamba bei ni milion mbili kwa heka moja.
Shamba linauzwa lipo mbwewe lina ukubwa wa heka 100 bei ni laki nne umbali kutoka barabara kuu ni kilometa 4 kwa maelezo zaidi piga simu namba 0659628665
Tunauza miche ya mananasi na ndizi kwa bei poa kabisa tunapatikana kiwangwa bagamoyo pwani mawasiliano no 0714121506 kalibuni sana kiwangwa yenye neema
ENEO LINAUZWA LIPO KIJIJI CHA MBWEWE CHALINZE PWANI LINAUKUBWA WA HEKA 50 LINAFA KWA KILIMO AU KUFUGA KISASA UMBALI KUTOKA LAMI KILOMETA 6 BARABARA SAFI BEI SH LAKI TANO KWA HEKA MOJA MAWASILIANO NO 0714121506 KALIBUNI SANA WATEJA KUONA BULE ASANTENI SANA
NYUMBA INAUZWA MILION 95 Chamazi, Temeke - Dar es Salaam 📞 Simu/WhatsApp: +255 744 993 715 ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ SIFA ZA NYUMBA: ✅ Vyumba 3 vya kulala ( chumba kimoja ni Master Bedroom) ✅ Sebule kubwa ya kisasa ✅ Jiko la kisasa lenye makabati ✅Dining room ✅ Choo cha wageni (Public Toilet) ✅ Umeme na maji vipo ✅Electricity Fence ✅Geti la Rimoti ✅Full Ac ✅ Dakika cha...
Shamba linauzwa Kiwangwa masuguru shamba lina hati na lina ukubwa 10 pia shamba limegusa barabara kuu ya lami Bagamoyo to msata road bei ni milioni 15 kwa heka moja pia unaweza kupiga simu namba 0659628665 kwa maelezo zaidi