Wahi chapu mzigo umeshuka bei maboss mtungi wa gas na regulator yake ni high pressure vyote bado vipya kabisa gas nimetumia siku 1 tu bado ina gas nipe 85,000 napatikana Magomeni Mawasiliano 0683106466 au 0750550828
Eneo la beach Plort linauzwa lipo mkwaja wilaya ya pangani tanga lina ukubwa wa heka 16 eneo lina hati miliki bei ni milioni 35 kwa heka moja eneo ni zuri sana kwa maelezo zaidi piga simu 0659628665
KIUKWEL WENGI WALIZOEA ZILE MASHINE NYINGINE ILA HII NI ZAIDI NA BORA KWA MATUMIZI YAKO YA KILA SIKU IKIWA NYUMBANI KWANZA INATUMIA UMEME MDOGO PILI NI RAHISI KUTUMIA-(Simple)... Wahi Sasa tupa Order yako Mapema tukufanyie FREE DELIVERY BUREE POPOTE ULIPO NCHINI 📩 Au tupigie hivi Sasa kupitia WhatsApp namba yetu, ☎️0759065148... Karibun Sanaa,🙏🏻 Kwanini Utes...
Home & FurnitureKariakoo,Ilala,Dar,es, Salaam,Tanzania
Hello..!! Jamn Wapendwa wateja wetu leo Tumewaletea pressure cooker na Brenda Ni Moja Kati ya Vifaa ambayo vinatumia Umeme lakini vinaurahisi Sana kwa huduma za nyumbani au HOTELINI Yaani zipo chap mnoo: Tuanze na👇 PRESSURE COOKER! Ambayo inatumia takribani dk,15-20 Kuiisha MAHARAGE na huchkua dk,10 kuchemsha Maji kwa Haraka zaidi na haili Umeme Sana lakini ...