Shamba linauzwa lipo mbwewe pwani lina ukubwa wa heka 50 lipo umbali wa kilometa 4kutoka barabara kuu ya lami eneo ni zuri sana bei ni laki nne tu kwa heka moja pia unaweza kupiga simu namba 0659628662 kwa maelezo zaidi.
NYUMBA INAUZWA IPO IRINGA MJINI IPO KARIBU NA OFFICE ZA MANISPAA IRINGA KATA YA GANGILONGA NAKUKUHAKIKISHIA NI YA KISASA IMEJENGWA NA WA ISRAEL NA RAMANI KUTOKA ISRAEL
Wahi chapu mzigo umeshuka bei maboss mtungi wa gas na regulator yake ni high pressure vyote bado vipya kabisa gas nimetumia siku 1 tu bado ina gas nipe 85,000 napatikana Magomeni Mawasiliano 0683106466 au 0750550828
NYUMBA INAUZWA MILION 95 Chamazi, Temeke - Dar es Salaam 📞 Simu/WhatsApp: +255 744 993 715 ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖ SIFA ZA NYUMBA: ✅ Vyumba 3 vya kulala ( chumba kimoja ni Master Bedroom) ✅ Sebule kubwa ya kisasa ✅ Jiko la kisasa lenye makabati ✅Dining room ✅ Choo cha wageni (Public Toilet) ✅ Umeme na maji vipo ✅Electricity Fence ✅Geti la Rimoti ✅Full Ac ✅ Dakika cha...
Nyumba nzuri inauzwa Iko Mtaa wa Amani. mpiji Magie kituo Cha Daladala kinaitwa Machimbo Ina vyumba 3 Kwa ndani 1 Master viwili kawaida. jiko, Dinning na Sitting room na Public Toilet Nje Ina vitu vifuatavyo Vyumba vya kulala 2 Chumba 1 cha ofisi Frame 1 ya biashara Parking ya kutosha magari zaidi ya 5 Mabanda ya kufugia kuku zaidi ya 1000
Eneo la beach Plort linauzwa lenye ukubwa wa heka 10 lipo umbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu ya lami bei ni milioni 30 kwa heka moja eneo ni zuri sana kwa maelezo zaidi piga simu namba 0659628665
Nauza shamba la mtoni lipo naukubwa wa Eka 50 shamba lipo umbali wa kilometa 12 kutoka barabara kuu ya lami linauzwa kwa kila eka moja 1.2M kwa mawasiliano zaidi Piga no..0659628665/=0625929692/=