Bichiploti inauzwa ipo pangani mkwaja inaukubwa wa heka 10 bei milion 30 kwa heka moja mawasiliano no 0714121506 WHASSAP inapatikana kalibuni sana pangani
Shamba linauzwa Kiwangwa masuguru shamba lina hati na lina ukubwa 10 pia shamba limegusa barabara kuu ya lami Bagamoyo to msata road bei ni milioni 15 kwa heka moja pia unaweza kupiga simu namba 0659628665 kwa maelezo zaidi
Eneo la beach Plort linauzwa lipo mkwaja wilaya ya pangani tanga lina ukubwa wa heka 16 eneo lina hati miliki bei ni milioni 35 kwa heka moja eneo ni zuri sana kwa maelezo zaidi piga simu 0659628665
Nauza shamba Kiwangwa Bagamoyo lenye ukubwa wa hekari 70 lipo umbali wa kilometa 5 kutoka barabara kuu ya lami bei kwakila heka moja ni laki 500,000/= mawasiliano zaidi PGA. 0659628665/=